zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – 2 POST – Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

Employer

Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

Application Timeline

2025-07-29 to 2025-08-11

Job Summary

NA

Duties and Responsibilities

  • Kusaidia kubuni na kupanga mipango na miradi ya maendeleo katika eneo lake,
  • Kusaidia uwezeshaji na upatikanaji wa mafunzo kuhusu masuala ya maendeleo katika eneo lake,
  • Kushiriki katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo,
  • Kusaidia kutoa elimu kuhusu kazi za kujitegemea katika eneo lake,
  • Kuandaa na kutoa taarifa za kazi za maendeleo ya jamii kila mwezi kwa uongozi wa kijiji na kwa Msimamizi wake wa kazi,
  • Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na vya kimaendeleo,
  • Kutambua na kuwezesha kaya masikini kuinua uchumi wao kupitia fursa na rasilimali zinazowazunguka,
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualification and Experience

Kuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo:

  • Maendeleo ya Jamii (Community Development)
  • Sayansi ya Jamii (Sociology)
  • Masomo ya Maendeleo (Development Studies)
  • Mipango na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management)
  • Jinsia na Maendeleo (Gender and Development)
  • Rural Development
  • Au fani nyingine zinazofanana na Maendeleo ya Jamii.

Remuneration

TGS B

ADVERTISEMENT

Usikose Kusoma na Hizi Pia

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Nafasi za kazi Afisa Ufugaji Nyuki Msaidizi Daraja la II (Assistant Beekeeping Officer II)

Nafasi za kazi Afisa Maendeleo ya Michezo Msaidizi Daro la II

Nafasi za kazi MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT GRADE II)

Nafasi za kazi Afisa Ukuzaji Viumbe Kwenye Maji Daraja la II (Aquaculture Officer Grade II)

Nafasi za kazi FUNDI SANIFU DARAJA LA II – KILIMO (AGRICULTURAL TECHNICIAN GRADE II)

Nafasi za kazi Mkufunzi DARAJA LA II – Kilimo (Agricultural Officer Grade II)

Nafasi za kazi Afisa Kilimo Msaidizi DARAJA LA III (Agricultural Field Officers)

Nafasi za kazi Afisa Kilimo Msaidizi DARAJA LA II (Agricultural Field Officers)

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Nafasi za kazi Afisa Ufugaji Nyuki Msaidizi Daraja la II (Assistant Beekeeping Officer II)

Nafasi za kazi Afisa Maendeleo ya Michezo Msaidizi Daro la II

Nafasi za kazi MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT GRADE II)

Nafasi za kazi Afisa Ukuzaji Viumbe Kwenye Maji Daraja la II (Aquaculture Officer Grade II)

Load More

Comments 1

  1. gabrielmasangula@gmail.com says:
    3 months ago

    Namna ya kuomba nafasi hizo hamjaweka wazi

    Reply

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.