POST | DOBI – (LAUNDERER) – 3 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-01-07 2025-01-20 |
JOB SUMMARY | N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kufanya uchambuzi wa nguo kwa ajili ya kuosha, kukausha, kunyoosha na kuzifungasha na ii. Kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Msimamizi wa kazi. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa ni kwa waliofuzu mafunzo ya miaka miwili au mitatu katika fani ya Dobi (Laundry Services) kutoka katika vyuo vinavyotambulika na Serikali. |
REMUNERATION | TGHS B |
ADVERTISEMENT