zoteforum.com
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
zoteforum.com
No Result
View All Result

Nafasi za Kazi za kuandikishwa jeshini (JWTZ) kwa wenye fani mbalimbali

JWTZ Yatangaza Nafasi Mpya za Ajira Kwa Vijana

Dodoma – Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tangazo la nafasi za kujiunga na jeshi hilo kwa vijana wa Kitanzania wenye sifa za elimu kuanzia sekondari hadi chuo kikuu.

Tangazo hilo limetolewa leo Jumatano tarehe 30 Aprili, 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Gaudentius Ilonda, alipokuwa akizungumza na wanahabari makao makuu ya jeshi jijini Dodoma.

Kwa mujibu wa Kanali Ilonda, JWTZ linahitaji wataalamu mbalimbali wa afya ikiwemo madaktari bingwa wa upasuaji, upasuaji wa mifupa, magonjwa ya kibofu, wataalamu wa picha za kitabibu kama vile X-ray, MRI na CT scan, madaktari wa masikio, pua na koo, wa usingizi, magonjwa ya ndani, macho, saratani, tiba za dharura na damu; pamoja na madaktari wa magonjwa ya akili na wataalamu wa uchunguzi wa sampuli za mwili. Kadhalika, nafasi zimefunguliwa kwa wataalamu wa huduma za wanyama, wahandisi wa tiba na vifaa tiba, na wataalamu wa maabara ya meno pamoja na madaktari wa afya za abiria na wahudumu wa anga.

Aidha, JWTZ inawakaribisha mafundi wa aluminium welding, welding na metal fabrication kuwasilisha maombi yao.

Kanali Ilonda amebainisha kuwa waombaji wanatakiwa kuwa raia wa Tanzania wenye kitambulisho cha taifa, afya njema na akili timamu, ambao hawajawahi kutiwa hatiani kwa kosa lolote la jinai. Waombaji wote wanapaswa kuwa na vyeti halisi vya kuzaliwa, vya masomo na taaluma husika, na wawe hawajawahi kuhudumu kwenye Jeshi la Polisi, Magereza, au Kikosi cha Kuzuia Magendo.

ADVERTISEMENT

Sharti lingine ni kwamba mwombaji awe amehitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) au kwa mujibu wa sher ia na awe na cheti cha uthibitisho. Kigezo cha umri kwa waliohitimu kidato cha nne na sita ni miaka isiyozidi 24; stashahada wasiwe na zaidi ya miaka 26; elimu ya juu wasiwe na zaidi ya miaka 27; na madaktari bingwa isiwe zaidi ya miaka 35.

Maombi yote yaandikwe kwa mkono na kuwasilishwa makao makuu ya JWTZ Dodoma kati ya Mei 1 hadi Mei 14, 2025. Waombaji watume maombi yao yakiwa na nakala ya kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA, nakala ya cheti cha kuzaliwa, vyeti vya shule na chuo, hati ya kumaliza JKT (kwa waliohitimu mafunzo hayo), pamoja na namba ya simu ya mkononi.

Usikose Kusoma na Hizi Pia

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Nafasi za kazi Afisa Ufugaji Nyuki Msaidizi Daraja la II (Assistant Beekeeping Officer II)

Nafasi za kazi Afisa Maendeleo ya Michezo Msaidizi Daro la II

Nafasi za kazi MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT GRADE II)

Nafasi za kazi Afisa Ukuzaji Viumbe Kwenye Maji Daraja la II (Aquaculture Officer Grade II)

Nafasi za kazi FUNDI SANIFU DARAJA LA II – KILIMO (AGRICULTURAL TECHNICIAN GRADE II)

Nafasi za kazi Mkufunzi DARAJA LA II – Kilimo (Agricultural Officer Grade II)

Nafasi za kazi Afisa Kilimo Msaidizi DARAJA LA III (Agricultural Field Officers)

Nafasi za kazi Afisa Kilimo Msaidizi DARAJA LA II (Agricultural Field Officers)

Load More
SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

VITUO VYA USAILI WA MAHOJANO WA MDAs & LGAs UTAKAOFANYIKA TAREHE 22 HADI 24 OKTOBA, 2025

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Serikali yatangaza Nafasi za Kazi za ualimu (10,026)

Nafasi za kazi Afisa Ufugaji Nyuki Msaidizi Daraja la II (Assistant Beekeeping Officer II)

Nafasi za kazi Afisa Maendeleo ya Michezo Msaidizi Daro la II

Nafasi za kazi MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT GRADE II)

Nafasi za kazi Afisa Ukuzaji Viumbe Kwenye Maji Daraja la II (Aquaculture Officer Grade II)

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.