Zoteforum
No Result
View All Result
  • Login
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
PRICING
JIUNGE
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa
No Result
View All Result
Zoteforum
No Result
View All Result

Haya hapa Majina ya walioitwa kazini Katika taasisi mbalimbali za Umma leo tarehe 31/07/2025

Zoteforum by Zoteforum
July 31, 2025
in Nafasi za kazi

Utangulizi

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 23-04-2025 na tarehe 28-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Maelekezo kwa Wasailiwa Waliofaulu

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications. Hivyo, watapaswa:

  • Kupakua (Download) barua hizo.
  • Kutoa nakala (Print) barua hizo.
  • Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Masharti ya Kuripoti Vituo vya Kazi

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri ndani ya muda uliowekwa katika barua za kupangiwa kituo cha kazi. Wanapaswa kuambatana na:

  • Vyeti halisi (Original Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea.

Hii ni ili vyeti hivyo vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi ya ajira.

ADVERTISEMENT

Waombaji Wasiofaulu

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa:

  • Hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili.
  • Hawawezi kusisitiza kuomba mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Usikose Kusoma na Hizi Pia

From Five Selection 2026 Dodoma – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Dodoma

From Five Selection 2026 Arusha – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Arusha

Form Five Selection 2026 Geita – Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2026 Geita

Form Five Selection 2026 Shinyanga – Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 Shinyanga

Form Five Selection 2026 Iringa – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Iringa

Form Five Selection 2026 Songwe – Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 Songwe

Form Five Selection 2026 Singida – Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2026 Singida

Form Five Selection 2026 Simiyu – Waliochaguliwa kidato cha tano 2026 Simiyu

Form Five Selection 2026 Ruvuma – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Ruvuma

Form Five Selection 2026 Rukwa – Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Rukwa

Load More

KUPAKUA ORODHA YA MAJINA BOFYA HAPA

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 30-07-2025

SendShareShareTweet
Zoteforum

Zoteforum

Karibu Zoteforum.com, Tovuti yako pekee inayokupasha habari na Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani.

Makala Nyingine zaidi

Territory brand lead at Onfon Microfinance Tanzania

Territory brand lead at Onfon Microfinance Tanzania

Nafasi za Kazi Account Developer Coca-Cola Kwanza – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi za Kazi Account Developer Coca-Cola Kwanza – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi ya Kazi Sales & Reservations Agent QR Travel – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi za Kazi Valuation Interns at RINAZ Proper Consult – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi za Kazi Valuation Interns RINAZ Proper Consult – Nafasi za Kazi Januari 2026

Nafasi za kazi Halmashauri Wilaya ya Buchosa (15 Januari, 2026)

Load More

Weka maoni yako hapa au Komenti kuhusu makala hiiCancel reply

  • About
  • Cart
  • Checkout
  • Contact
  • Download Mziki na Nyimbo mpya
  • Habari za Burudani
  • Habari za Elimu
  • Habari za Soka
  • Home
  • Matokeo Ya Mitihani Tanzania – NECTA – MOCK – VYUO
  • My account
  • Nafasi za Kazi 2024
  • Offerings
  • Shop
  • Subscription
Call us: +1 234 JEG THEME

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
No Result
View All Result
  • Home
  • Nafasi za kazi
  • Elimu
    • HESLB
    • Orodha ya Shule za sekondari Tanzania
    • selections
      • Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo vikuu
    • NECTA Matokeo
    • Maombi ya Udahili
      • Sifa za Kujiunga na Vyuo
      • Kozi za Vyuo
      • Orodha ya Vyuo
  • Internship
  • Habari na Matukio
    • Afya
    • Tekinolojia
  • Burudani
    • Soka
    • Mziki
    • Mapenzi na Mahusiano
  • Biashara
    • Magari
    • bei za bidhaa

© 2024 Zoteforum - Tovuti yako pekee inayokusogezea Makala mpya kuhusu elimu, michezo, na burudani. by Zoteforum.com.